Jiunge kwenye kozi zetu za bure za uandishi wa vitabu
Tuna habari njema!. Januari hii tutaanza kutoa kozi za bure za uandishi wa vitabu. Utajifunza jinsi ya kuandika na kuuza kitabu ulichoandika. Pengine wajiuliza, Je! ninaweza kuandika kitabu?
Jibu ni ndio! inawezekana. Jiunge sasa kwenye kozi zetu za bure na ujifunze jinsi ya kuandika kitabu.
Safari ya kuandika kitabu inakuwa rahisi kama utajifunza kwenye kozi zetu na kupata maarifa sahihi ya kukusaidia kuwa mwandishi mzuri.
Si hivyo tu, tutakufundisha na jinsi ya kuuza vitabu vyako na kufanya uandishi sehemu ya kupata kipato