Kitabu unachoandika lazima kiwe na sifa hizi
Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;
- Kwa nini unapata tabu sana kuuza kitabu chako
- Sifa nne ambazo utazizingatia unapoanza kuandika kitabu chako
- Utofauti wa kitabu kizuri na kitabu bora
- Maswali matatu ya kujiuliza kabla haujaanza kuandika kitabu chako
- Unafanyaje kitabu chako kiwe na sifa zinazotakiwa