Siri 30 za kuwa mwandishi bora wa vitabu
Baada ya kusoma kozi hii, utaweza kufanya mambo yafuatayo;
- Kuandika kitabu kizuri cha ndoto yako, kupanga bajeti ya kukitoa na kukifikisha kwa wasomaji
- Kukuza jukwaa lako kama mwandishi
- Utajua jinsi ya kutoa eBook bora kwa wasomaji kwa kuzingatia vitu muhimu
- Utajua jinsi ya kutengeneza launch team unapotaka kufanya uzinduzi wa kitabu na namna ya kupanga bei ya kitabu
Recommended for you
Kitabu unachoandika lazima kiwe na sifa hizi
TZS 15,000