Sadaka ya fungu la kumi ni nini?
Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo 8;
- Maana ya fungu la kumi,
- Wazo la fungu la kumi lilianzia wapi,
- Watoaji wa kwanza wa fungu la kumi,
- Malaki 3:10 inamaanisha nini hasa?,
- Utoaji wa fungu la kumi agano jipya,
- Utoaji wa fungu la kumi unaombariki Mungu,
- Faida za kutoa fungu la kumi na
- Madhara ya kutotoa fungu la kumi