Mbeba Maono: Lango linalobeba hatima ya wengi
MBEBA MAONO ni kitabu kinachoelezea ukweli kuhusu mbeba maono na nguvu iliyopo ndani yake kwani ni lango linalobeba hatima ya wengi.
Kitabu hiki kimeeleza kwa undani namna ya kumtambua mbeba maono, kwanini tunapaswa kuunganisha nguvu zetu kumlinda na namna anavyoweza kusimama kuacha alama isiyofutika akiondoka hapa duniani.
Fuatana nami katika kitabu hiki ili uweze kupata siri nzito iliyojificha ndani ya mbeba maono ili umsaidie kutimiza maono yake.
Recommended for you

Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo

Gharama ya kubarikiwa
TZS 5,000

Lishinde Jaribu
TZS 5,000

Maono ya Mbinguni
TZS 8,000

Mduara wa dhambi