Nguvu ya Maombi ya Toba
Mwandishi wa kitabu cha Nguvu ya Maombi ya Toba ameeleza hatua kumi zinazokamilisha toba yako.
Mwandishi ameeleza
aina mbali mbali za Toba kama vile Toba ya kurejesha majira, toba ya kusamehe
dhambi. toba ya kurejesha utukufu wa Mungu mahali na aina nyingine nyingi
amezielezea ndani ya kitabu.