Onyo la Mwisho kwa Kanisa la Siku za Mwisho
Msururu wa matukio ya kinabii ya siku za mwisho na kurudi Yesu unafunua vyema majira na nyakati tulizo nazo za siku za mwisho. Maarifa kuongeka na kukua Kwa sayansi na teknolojia, huku DUNIA ikijiandaa na muundo wa SERIKALI MOJA, sarafu Moja, uchumi Mmoja, Huku tukitazamia UJIO wa Yesu kwa kanisa, mpinga kristo na utawala wake na kipindi Cha mwisho wa nyakati
Dhumuni kuu la kitabu hiki ni kuwaandaa waamini kujua majira na nyakati na kujiweka tayari ili waweze kupona na nyakati mbaya za kutisha zilizo anza kuikabili DUNIA katika nyakati zetu hizi ya siku za mwisho. Kitabu hiki kimejikita maandiko matakatifu, kitabu cha Danieli na Ufunuo (Danieli 12:4).