Vita ya mnadhiri
Kitabu hiki kimeandikwa mahususi kwa lengo la kurejesha misingi ya imani kwa wateule, wale waliochaguliwa kwa kusudi la Mungu, katika makanisa, katika familia, katika misikiti; ili waweze kusimamia katika kusudi la Mungu ili kuwepo kwao kusiwe kazi Bure; si katika MIANZO yo Pekee Bali hata katika Miisho yao; kwa namna yoyote Lengo walilobeba kikapate kutimizwa.