Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Fasihi
  • Jua Liangazi Chuki - Tafsiri la kitabu cha William Shakespeare

Jua Liangazi Chuki - Tafsiri la kitabu cha William Shakespeare

TZS 8,500


Add to cart  

Mchezo huu ni wa asili ya kimombo ulioandikwa na mwingereza mmoja maarufu wa karne ya kumi na sita. Ila, nimeweza tu kuusimulia kwa lugha ya Kiswahili. Changamoto nazo zilikuwa si haba kwa vile kutafuta msamiati mwafaka pamoja na ushairi kamili ilikuwa kazi ngumu. Sitajidai kuwa ni mimi pekee niliye na ujuzi wa kufanikisha tafsiri, ila, kilichonishinikiza ni kuwa waandishi wengi wameogopa kujitolea kufanya kazi kama hizi na hivyo, kuwanyima wapenzi wa lugha maandishi yaliyo na hadhi za kimataifa.


Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.