Ndoa Yangu
NDOA yangu ni simulizi ya kusisimua inayochanganya mapenzi, wivu, usaliti pamoja na ukandamizaji. Maurini anaingia kwenye ndoa iliyojaa usaliti ambapo mume wake Lameck alikuwa akimsaliti na wanawake tofauti tofauti. Vilevile katika simulizi hii tunaona jinsi mwanadada Maurini alivyopitia nyakati ngumu za ukandamizaji na kuishia kuwa mama wa nyumbani kutokana na wivu wa mume wake.
Kupitia simulizi hii iliyojaa visa mbalimbali, Maurini anafanikiwa kushinda vikwazo vyote kutokana na uvumilivu aliokuwa nao kwenye ndoa yake, kitendo kilicho mfanya mume wake aamue kubadilika na kuwa mume bora.
Hadithi hii imebeba mafunzo kwa jamii hasa kwa wenye ndoa kwani inatufunza tuwe wavumilivu na tusiwe wepesi wa kuvunja ndoa zetu kirahisi
Recommended for you

Safari yenye Dhoruba
TZS 5,000

Nitaiambia nini familia yangu
TZS 10,000

Jipu ndani ya ubongo - Simulizi ya kweli
TZS 15,000