Subira Itakutuza (Mashairi aina ya tenzi)
SUBIRA ITAKUTUZA ni kitabu chenye mkusanyiko wa mashairi ishirini na nane aina ya tenzi yanayoelezea mambo ambayo vijana wanapaswa kuyazingatia katika mahusiano yao ya kimapenzi.
Mashairi haya yatawasaidia vijana kupata matokeo chanya yaliyomo katika mapenzi baada ya kujifunza; athari za kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa, jinsi ya kumtambua mwenzi sahihi, athari za kumchagua mwenzi asiye sahihi, jinsi ya kuishi kwenye uchumba na ndoani.
Recommended for you
Chura wa Kijeshi
TZS 5,000
Chozi la Mama
TZS 5,000