Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
Ndani ya kitabu hiki sio tu utaona nguvu ya akili ila chanzo cha nguvu hizo ambazo asili yake imekua ikikua na kuongezeka kwa kadiri miaka yetu inavyokua na uzoefu wa kimaisha kuongezekana na kutupatia maarifa. Huu mtazamo wa mambo makubwa umekua msaada sana kwenye shule zetu, kwenye maisha ya ujana, biashara, ndoa na hata kwenye kazi tunazofanya.
Ni imani yangu utakapomaliza kukisoma kuna namna utaanza kuyaona maisha katika kona nyingine ambayo itakusaidia na kukuwezesha kuwa na maisha bora kuliko yale uliyokuwa nayo awali. Mungu na akutangulie.
Frequently bought together
Mtu wa tofauti
TZS 12,000
Mwingine sio wewe
TZS 5,000
Namna ya kuwa mtaalamu ukiwa bado unasoma
TZS 15,000