Mipango (Plans)
Kwenye kitabu hiki, ninataka kukuonesha umuhimu na ulazima wa kuwa na mpango maisha mwako. Na kama ulikuwa na mawazo kama hayo hapo juu basi nikuhakikishie ya kwamba, utakapomaliza kusoma kitabu hiki utakuwa na badiliko kubwa sana ndani yako.
Utayaendea maono yako yote maishani moja baada ya lingine ukiwa na mipango thabiti, hutaishi maisha ya kubahatisha wala kupapasa papasa tena. Utaishi maisha yenye uhakika huku ukijua kwamba ili uvune chochote basi ni lazima kuwe na kitu umetangulia kukipanda kwanza.
Recommended for you

Misingi 10 ya Mafanikio Yako
TZS 2,999

Mtu wa tofauti
TZS 20,000

Mtu wa Thamani

Ushindi katika hali ngumu

Yusufu nina ndoto
TZS 10,000