Uwajibikaji wenye Matokeo Chanya
Katika kitabu hiki tunajifunza kuwa kila aina ya matokeo chanya yanayohitajika kwa mtu binafsi, familia, taasisi, jamii , kanisa, nchi na ulimwengu wote kwa ujumla kuna aina ya uwajibikaji na viwango wa uwajibikaji kila mtu lazima afanye.
Kwenye kitabu hiki utajifunza mambo mengi sana baadhi yake ni kama yafuatayo:-
- Nidhamu kama nguzo muhimu kuishi maisha yenye matokeo chanya na yanayoacha alama chanya.
- Uwajibikaji binafsi
- Uwajibikaji kwa familia.
- Uwajibikaji kwa jamii, taasisi na kwa ulimwengu.
- Uwajibikaji katika kuujenga ufalme wa Mungu.
- Ngazi kuu nane na mitazamo ya uwajibikaji inayoleta kufeli au kushinda.
- Majuto makuu kwa watu wanaokosa uwajibikaji.
- Namaba ya kuwajibika ili kuepukana na majuto ya maisha.
- Faida za uwajibikaji katika kupambania Malengo na ndoto zako.
Baada ya kusoma kitabu hiki, chukua hatua ya uwajibikaji wenye matokeo chanya na yanayoacha alama chanya.
NI UHAKIKA KABISA KUWA UKIFANIKIWA KUPATA NAKALA HII, UTAPATA HAMASA NA NGUVU YA UWAJIBIKAJI KWA VIWANGO VINAVYOPELEKEA MATOKEO CHANYA NA YANAYOACHA ALAMA CHANYA KWA WATU HATA UTAKAPOKUFA UTAKUMBUKWA KWA MATOKEO YA UWAJIBIKAJI WAKO.
Recommended for you

Usiishie Njiani
TZS 10,000

Uadilifu wa Kiongozi
TZS 7,500

Kuanguka kwa Kiongozi
TZS 7,500

Kufanyika kuwa Kiongozi
TZS 7,500