Siri ya kutengeneza ndoa bora
Kitabu hiki kihusucho SIRI YA KUTENGENEZA NDOA BORA ni mzigo ambao Mungu ameweka moyoni mwangu baada ya kushughulika na utatuzi wa migogoro mingi ya ndoa na familia pamoja na ushauri na mafunzo ya ndoa. Baada ya kutafakari ndoa zilivyo na nafasi kubwa katika jamii, nimeona eneo kubwa ambalo jamii huanza kujijenga na kujiweka imara ni kupitia ndoa zilizo imara na salama.
Kwa kuwa Mungu ndiye mwasisi wa ndoa, iko siri kubwa ya Mungu kwetu sisi kuishi hapa duniani, na yeye ameweka ndoa kama mahali pa kumalizia maisha yetu ya hapa duniani.
Recommended for you
Subiri Ndoa
TZS 5,000
Uchumba wa sasa madhara yake
TZS 3,500
Barua ya Siri kwa Wanandoa Wote
Fahamu Misingi na Kanuni za Ndoa