Mambo 7 Ya Muhimu Kuhusu Fedha
Fedha ni matokeo ya unachokijua na sio unachokitaka. Unafanyaje kuendelea mbele unapokutana na madeni? Nani wanaamua ulipwe kiasi gani wakati gani na unaweza kufanya nini kubadilisha unacholipwa? Kuna mambo saba ya muhimu sana(msingi) kuhusu fedha, yaliyomo katika kitabu hiki; ambayo ukiyajua yatabadilisha kabisa viwango vyako eneo la kifedha.
Recommended for you

Ijue Biashara kwa Kina

Mfuko wa dharura
TZS 15,000

Tumia fursa tengeneza biashara
TZS 3,999