Umeiweka Wapi Talanta Yako?
Je, unafahamu kwamba ule mfano wa talanta alioutoa Yesu Kristo uliwalenga walioajiriwa, waliojiajiri na wasio na ajira? Je, unafahamu kwamba ukiajiriwa ni sawa na kupeleka talanta kwa watoao riba? (benki). Nini kinaipata talanta yako unapoamua kuajiriwa? Ni mambo gani yaliyowafanikisha wale waliozalisha faida ukilinganisha na yule alieamua kuifukia?
Kitabu hiki kinakuletea majibu ya maswali haya na maarifa katika mtiririko ambao utabadilisha kabisa mtazamo na hatua zako katika eneo la kujiajiri, kuajiriwa na unapojikuta huna ajira.
Recommended for you

Ingiza Gia Kubwa Itakayopaisha Uchumi Wako

Tumia Fursa Tengeneza Biashara

Jilipe mwenyewe kwanza
TZS 10,000

Wewe na Pesa
TZS 3,000