Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Usichokijua Kuhusu Biashara

Usichokijua Kuhusu Biashara

TZS 4,999
Add to cart  

Mafanikio makubwa kwenye biashara ni matokeo ya uwekezaji kwenye eneo la maarifa. Mfanyabiashara anatakiwa apate maarifa ya kumsaidia kuiimarisha, kuikuza na kuipanua biashara. Lakini, changamoto imekuwa ni wapi pa kuyapata maarifa haya. Kitabu hiki kinaziba pengo la kupata maarifa sahihi yenye matokeo. Kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho, kumejaa siri ambazo mfanyabiashara yeyote anazihitaji ili kufanikiwa.

Kwa nini biashara zinakufa? Ufanye nini kwenye biashara yako ili iweze kujisimamia yenyewe? Ni nini wateja wanapenda kufanyiwa ili wawe wateja wako wa kudumu? Maswali haya na mengine mengi yamejibiwa vema kwenye kurasa za kitabu hiki. Wito ni wangu kwako ni wewe ukisome mpaka mwisho na uanze mara moja kuyafanyia kazi yale mambo yote ambayo utajifunza.


Recommended for you

Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali
Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali
TZS 6,500
Add to cart
Ijue Biashara kwa Kina
Ijue Biashara kwa Kina
TZS 7,000 TZS 4,000
Add to cart
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
TZS 6,000 TZS 4,999
Add to cart
Kurasa Za Uchumi
Kurasa Za Uchumi
TZS 10,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in




Forgot password?
Create account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2018 - 2025. All rights reserved.