Gharama za Uongozi
Ukiwa kiongozi kuna bei na gharama za kulipa; Haijalishi u kiongozi wa kiroho, wa kisiasa, wa kibiashara, au kifamilia. Haijalishi unaongoza taasisi au kampuni, unaongoza watu wengi au wachache. Gharama za kulipa zipo pale pale.
Kitabu hiki kinachambua kwa kina gharama 17 ambazo viongozi hukabiliana nazo katika Uongozi. Ni vizuri kwa viongozi kuzijua gharama mapema ili wajiandae kuzilipia pale inapohitajika kufanya hivyo. Viongozi wengi hawazijui gharama za uongozi, wanaingia katika uongozi bila kuhesabu gharama, na baadaye gharama zinapoanza kudai kulipwa wanachanganyikiwa.
Hakika kitabu hiki kitakuinua, kukujenga, na kukuimarisha zaidi katika majukumu yako ya kiuongozi.
Recommended for you

Ijue Elimu ya Uongozi
TZS 5,000

Jinsi ya kufanikiwa katika uongozi
TZS 10,000

Kufanyika kuwa Kiongozi
TZS 7,500