Lipa kidogo, pata vitabu zaidi

Pata kitabu chochote unachokipenda kwa gharama ya karibia na bure!

BORA. NAFUU. KWA WAKATI

Huduma tunazotoa


Cover_final-1.png

Ubunifu wa jalada

Tunatoa umakini wa kipekee kwa kila kazi tunayofanya, tukilenga kubuni jalada la kitaalamu, la kipekee, na lenye mvuto wa kipekee

Soma zaidi →

Layout_final22-1.png

Upangaji wa kitabu

Pata mpangilio wa kuvutia wenye mguso wa kitaalamu unaovutia na kushika hisia za msomaji papo hapo.

editing_final-1.png

Uhariri wa kitabu

Lengo letu ni kukusaidia kupata hati iliyo huru kutokana na makosa, ili wasomaji waweze kufurahia hadithi yako bila kukatishwa tamaa.

Publshing_final.png

Uchapishaji

Ikiwa ni nakala ngumu au nakala laini, tunahakikisha wasomaji wako wanapata uzoefu wa hali ya juu wanaposoma kurasa za kitabu chako

Furahia punguzo la 15%

Pata kitabu chochote unachokipenda kwa gharama ya karibia na bure!

Vitabu vilivyouza zaidi Oktoba


Pendekezo la mwezi


Mduara wa dhambi
Mduara wa dhambi
TZS 5,000 TZS 4,499

Wito kwa waandishi

Tunafurahia kukualika kuuza vitabu vyako nasi. Ikiwa unavyo nakala ngumu au nakala laini, duka letu ni mahali sahihi pa kuonyesha na kushiriki kazi yako na hadhira pana.

Tazama kazi zetu

Tungependa kufanyia kazi kitabu chako kijacho, tukusaidie kubuni jalada la kitabu, mpangilio wa kitabu, au kuhariri kitabu chako. Tazama kazi zetu, unakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Namba zinaongea


Tumesanifu jalada 350+ za vitabu

Tumesanifu kurasa 250+ za vitabu

Tumehariri vitabu 200+
Waandishi 1k+ wameridhika

Maswali yaulizwayo zaidi


Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa qui officia deserunt mollit anim id est laborum.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa qui officia deserunt mollit anim id est laborum.

Wateja wetu ni pamoja na waandishi na wasomaji wa vitabu. Fanya kazi nasi na uanze kuandika hadithi yako ya mafanikio leo

Wateja wetu wanavyosema


Francis Mbago, Author

Mnakwenda na muda, mnazingatia matakwa ya mwandishi. You are simply the best, and I recommend you to other book writers

Joshua Kanondo, Author

DL Bookstore mko very organized. Nimependa sana! How you keep things officiak...hiyo inaongeza trust kwa wateja

Inessgrace Munisi, Author

Sioni dalili ya kuwaacha...Mungu anipe ufunuo wa kitabu kingine

Hassan A. Hassani, Author

Wonderful service! Congratulations DL Bookstore. Honestly, I enjoyed the service.