Invisible power in Babilon (Tunalindwa na nguvu za Mungu)
Kama unatafuta kitu kipya katika maisha yako, kitu kinachoweza kukutoa sehemu moja na kukupeleka sehemu nyingi, chenye uwezo wa kubadili maisha yako ya rohoni na mwilini na zaidi njia mpya ya kusafiri na kumwona Bwana kwa namna ya tofauti, basi umekipata. Kabla ya kuanza kusoma basi kaa chini kwa utulivu mkubwa na usikiweke kitabu hiki pembeni kabla ya kukimaliza. Kitabu hiki kina sifa ya kuhakikisha unamwelewa Mungu kwa namna ya kipekee katika maisha yako.
Una neema kubwa kama unaishi kwenye kusudi la Mungu. Inawezekana ukawa unajiuliza namna nyingi za kuweza kuushinda ulimwengu na mambo yake, pengine umekuwa ukijaribu lakini unashindwa, kitabu hiki kitaenda kukupa majibu ya maswali yako na kukuandaa na ufalme wa Mungu.
Mapendekezo kwa ajili yako

Siri ya malango yasiyoonekana
TZS 7,000

Lishinde Jaribu
TZS 5,000

Maombi ya Kushinda vita ya Kiroho
TZS 7,000