Elizabeth Naturu
Kitabu hiki kinalenga katika Nyanja ya ujenzi wa jamii mpya kwa kuanza na malezi ya watoto wa kike kwani mwanamke ndiye hazina ya uzao katika jamii karne hii,
Mwandishi katika kitabu hiki anaamini kuwa, ili jamii iwe imara, mtoto wa kike anahitaji malezi ya pekee sana, malezi ya kiungu, malezi tulivu yenye busara ya upekee wa hali ya juu ili kumfungua, kumuimarisha, kumkomaza kwayo ili aweze kuwa Baraka kwa jamii yake inayomtazama, taifa lake linalomtazama, watoto wake wanao mtazama na wale watakao mtazama kama mama kwao