Mitandao ya kijamii ilivyoiba furaha ya wengi
Kitabu hiki ni maalumu kwa watu ambao wamepoteza furaha na amani katika Maisha yao, hawaoni raha kwa vitu walivyonavyo na hawawafurahii watu wanaowazunguka kwa sababu tu ya vile walivyoviona na kuvisikia kutoka katika mitandao ya kijamii. Naamini kwamba utakaposoma kitabu hiki Roho wa Bwana atakupatia maarifa mapya na utaendelea kufurahia maisha yako bila kuathiriwa na mitandao ya kijamii yani; facebook, whatsapp, telegram, Instagram, twitter, youtube n.k