Utundu wa akili ni rada
Maisha yanatuhitaji tuwe na uthubutu na bila kuwa na uthubutu hutaweza kukamilisha matumizi sahihi ya kipawa na zawadi ya uwezo uliojaliwa na Mungu.
Kitabu hiki tokea mwanzo hadi mwisho kinatuelimisha kutumia vipawa vyetu na zawadi ya uwezo tuliojaliwa na Mungu kwa uthubutu wa matendo kwa viwango vya juu na vyenye ubora.