Usijizuie kufanikiwa
Tofauti na vitabu vingi, kitabu hiki kimegusa maeneo mengi ya muhimu yanayohitajika ili mtu afanikiwe.
Ukweli ni kuwa
watu wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta mbinu za kufanikiwa kwenye maisha
yao, Wanahangaika kutafuta sababu za nje bila kujua wao ndiyo kiini cha
kutokufanikiwa kwao.
Kitabu hiki kitakueleza:
- Ni vipi wewe mwenyewe ni chanzo cha kutokufanikiwa kwako.
- Njia itakayokufanya kutimiza ndoto yako kirahisi.
- Tabia zinazokukwamisha kufanikiwa.
- Pia, namna unavyojikwamisha kufanikiwa.
- Njia zitakazokufanya kugundua kusudi la maisha yako n.k.
Hakuna
kitakachokuzuia kama hutajizuia mwenyewe