Kuishi kama Tai
Tai ni alama na picha ya ushujaa, ujasiri, kuwa na maono na kuwa mpambanaji. Ni alama ya mtu mwenye nguvu na maisha ya ushindi. Tai anaheshimika na kusika kwa kra zake na mtazamo wake, unaomtofautisha na ndege wengine wote na kumfanya kuwa ni Mfalme wa Anga. Mambo makuu tunayojifunza kutoka kwa tai ni pamoja na uwezo wake wa kuona mbali, kukabili dhoruba, kulenga jambo, kuyakabili mabadiliko, kufanya mahusiano, kujihuisha upya mwenyewe na nidhamu yake binafsi.
Ikiwa unataka kuwa mtu wa tofauti basi kitabu hiki kitakusaidia kukupa hamasa ya kubadilisha kra zako na kwa kuzifuata kanauni za maisha ya tai unaweza kuwa mtu mkuu na wa kipekee. Mambo makuu saba utayojifunza katika kitabu hiki kutoka katika maisha ya tai, ni rahisi na tena yanatekelezeka katika maisha yetu ya kila siku katika kuongoza kwetu.
Mungu akubariki unapo soma kitabu hiki