Sheria Na Injili Katika Agano Jipya
SHERIA NA INJILI KATIKA AGANO JIPYA, Ni kitabu chenye kukupa maarifa mengi ustawi wa Neno la Mungu lisiloghushiwa,Utajifunza Bibilia na kuelewa vema sana,itakusaidia wewe kuwa mwalimu mzuri mwenye uhakika wa Neno la MUNGU.,Utajifunza uhalali wa kutoa sadaka,kwa nini imeandikwa , Neno linamuhusu nani ,asili ya Ukristo na Uislam,Zaka bi kwa ajili ya nani na mengi yenye utata katika Bibilia majibu yake yamo humu.