Platform ya Kitanzania ya Kuuza Vitabu Mtandaoni
Je, wewe ni mwandishi unayetafuta njia bora ya kuuza vitabu vyako mtandaoni? DL Bookstore ni suluhisho bora kwa waandishi wa Kitanzania wanaotaka kuuza vitabu vyao kwa urahisi na kuwafikia wasomaji wengi zaidi.
Kwa kutumia DL Bookstore, unapata faida kama:
✅ Malipo ya Hadi 70% – Kila kitabu kinachouzwa hukuletea asilimia 70 ya bei ya mauzo.
✅ Ripoti za Mauzo Kila Mwezi – Unapata taarifa za mauzo na mapato yako moja kwa moja kupitia barua pepe.
✅ Kuonekana kwa Vitabu Vyako – Tunatangaza vitabu kupitia mitandao ya kijamii na orodha ya barua pepe ya maelfu ya wasomaji.
✅ Picha za Matangazo Bure – Unapata picha za kitabu chako kwa matumizi ya promosheni.
BEST. AFFORDABLE. TIMELY
YOUR STORY, OUR MASTERPIECE
Our comprehensive author services include captivating book cover design, precise layout design, thorough book editing, flawless translation, and premium printing. Collaborate with us to elevate your manuscript and create a book that truly shines.
Jinsi ya Kuanza Kuuza Kitabu Chako
1️⃣ Andaa nyaraka muhimu – Jalada la kitabu, maelezo mafupi, na faili ya eBook (au nakala za kitabu chako cha kuchapishwa).
2️⃣ Soma Sheria na Masharti – Fahamu haki na wajibu wako kama mwandishi.
3️⃣ Wasilisha Kitabu Chako – Jaza fomu, na ndani ya siku 1-3 kitabu chako kitakuwa hewani!
DL Bookstore inakupa jukwaa rahisi na lenye ufanisi kwa ajili ya kuuza vitabu vyako. Jiunge nasi leo na ufanye ndoto yako ya uandishi iwe na faida!